Skip to main content

Posts

Showing posts from May, 2017

AFANDE SELE "AMCHANA" MH.ABOOD.

AFANDE SELE. Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop kutoka Morogoro ,Selemani Msindi maarufu kama "Afande Sele" ,Juzi amejikuta akiingia kwenye mjadala mkali katika mitandao ya kijamii hususani Facebook baada ya kumkosoa Mbunge wake wa Morogoro mjini kuhusu usafi wa mji huo. MBUNGE WA MOROGORO MJINI (CCM),MH.AZIZ ABOOD.           Afande Sele ambae aligombania ubunge wa jimbo hilo la Morogoro mjini mwaka 2015 kwa tiketi ya chama cha ACT-Wazalendo ,alizua mjadala huo baada ya mji huo kushika nafasi ya 33 katika orodha ya miji michafu duniani kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO). TA

IGP MANGU KUONDOLEWA? ,ILISHATABILIWA KITAAMBO !!!

IGP ERNEST MANGU. Ikiwa ni siku moja tu tangu Kurugenzi ya Habari Ikulu ilipotoa taarifa ya kumpandisha cheo mkuu wa polisi wa kanda maalumu ya Dar es Salaam, kamanda Simon Sirro kuwa mkuu wa polisi Tanzania na kutoa tamko kwamba mkuu wa jeshi hilo wa sasa Inspekta Jenerali Ernest Mangu atapangiwa kazi nyingine, Taarifa hiyo imepokelewa kwa mawazo tofauti tofauti na wananchi hasa ikiwa wengi wanajiuliza ni kwanini IGP Mangu ametolewa katika nyadhifa hiyo ya juu kabisa kwenye jeshi la polisi kabla ya muda wake wa kustaafu kufika !!!.         BARUA  KUTOKA IKULU KWA WAANDISHI WA HABARI.     Chanzo cha blog yetu (Kioo17) siku ile ile ya jana 28 Mei 2017 ,kilibahatika kupata maoni ya mchambuzi nguli wa mambo ya siasa Bwana Malisa GJ alitukumbusha kwamba kuna mwanahabari wa gazeti la "MwanaHalisi" bwana Charles William           Alibashili haya ya jana takribani miaka miwili iliyopita !!!. SOMA HII; MALISA GJ:  Mdogo wangu Charles William aliandika miaka miwili

MVUTANO KUHUSU MALI KATI YA ZARI NA FAMILIA YA IVAN.(MSIBANI)

Habari kutoka kwenye msiba wa mfanyabiashara tajiri wa Uganda na Mume wa zamani ( Baba watoto ) wa Zarina Hassan (Zari the Boss), ni kwamba Zari na Baba wa marehemu wameingia kwenye mzozo mkubwa wa kugombania mali.  TAZAMA VIDEO HIZI KUTOKA YouTube: SIKILIZA HAPA KUTOKA KWA MTU WA KARIBU MSIBANI AKIFAFANUA KWA KISWAHILI:

MWANAUME WA KWANZA KUPATA UJAUZITO NA KUJIFUNGUA !!!...

BWANA THOMAS BEATIE AKIWA MJAMZITO (2007). Thomas Trace Beatie, ni mwanaume aliezaliwa tarehe 20 Januari,1974, kukulia na kuishi katika jiji la Honolulu, Hawaii ,Marekani.       Mwaka 2007, Beatie ambae alikua mwanaume aliyemuoa mwanamke anaeitwa Nancy Gillespie aliishangaza dunia baada ya kupata ujauzito kwa kupandikizwa mbegu za kiume (artificial insemination).       Ujauzito huo wa kushangaza wa Bw.Beatie uliwezekana baada ya hapo mnamo mwaka 2002 alipofanya operesheni ya kubadilisha jinsia (Gender Reassignment Surgery).        Bwana Beatie mwenyewe alisema kwamba sababu ya kuamua kushika ujauzito na kuzaa mwenyewe ilikua ni baada ya kubainika kwamba mke wake (Nancy Gillespie) anamatatizo yanayomfanya ashindwe kupata ujauzito.   BWANA BEATIE BAADA YA KUJIFUNGUA MTOTO WA KWANZA ,MKEWE NANCY AKIWA AMEMSHIKA MTOTO.   Ujauzito huo wa kwanza wa Bwana Beatie uliokua ni wa mapacha watatu ulitolewa na wataalamu kwa operesheni ya dharura baada ya kugundulika kwamba ulikua

OPERESHENI YA KWANZA YA KUPANDIKIZA KICHWA CHA BINADAMU.

DR.SERGIO CANAVERO.        Dr.Sergio Canavero ,Daktari bingwa wa upasuaji (Neurosurgeon) kutoka Italia, ametangaza kufanya operesheni ya kwanza ya kupandikiza kichwa cha binadamu kutoka mwili mmoja kwenda mwingine.         Akizungumza na gazeti la OOOM la Ujerumani, Dr.Canavero amesema operesheni hiyo itafanyika mwezi Desemba mwaka huu nchini China na jopo la madaktari 80 kwa masaa 36 na itagharimu dola milioni 10 (takribani shilingi bilioni 21 za kitanzania).         Tayari mtu wa kujitolea kufanyiwa operesheni hiyo amepatikana.Mtu huyo anaitwa Valery Spiridonov.Spiridonov ni mzaliwa wa Urusi anaesumbuliwa na ugonjwa unaoitwa Werning-Hoffman,ugonjwa uliosababisha misuli na mishipa yake ya kuanzia shingoni mpaka miguuni kushindwa kufanya kazi kiusahihi.Spiridonov anaishi kwenye kiti cha wagonjwa(wheelchair) ,hawezi hata kula mwenyewe. VALERY SPIRIDONOV. Dr Canavero ameelezea jinsi watakavyo hamisha kichwa cha Spirinov na kukipandikiza kwenye mwili wa mtu mwingine ambae ubo

Alichojibu RUGE MUTAHABA baada ya kuitwa Muongo ,tapeli na Mh.MAKONDA.

Baada ya yale mahojiano  mubashara kati ya kituo cha runinga cha Star tv na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mh Paul Makonda kuzua gumzo mitaani baada ya kumuita mkurugenzi wa Clouds media group Bwana Ruge Mutahabwa "MUONGO , TAPELI N.K" ...  Ruge ameibuka na kumjibu hivi .... TAZAMA HAPA...