Skip to main content

Alichojibu RUGE MUTAHABA baada ya kuitwa Muongo ,tapeli na Mh.MAKONDA.

Baada ya yale mahojiano  mubashara kati ya kituo cha runinga cha Star tv na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Mh Paul Makonda kuzua gumzo mitaani baada ya kumuita mkurugenzi wa Clouds media group Bwana Ruge Mutahabwa "MUONGO , TAPELI N.K" ...
 Ruge ameibuka na kumjibu hivi ....
TAZAMA HAPA...

Comments

Habari Nyingine Kutoka Kioo17 Swahili;

UTATA WA FORM 34A FEKI KATIKA TOVUTI YA IEBC.

  Na BERNADINE MUTANU  Imepakiwa - Wednesday, August 16   2017 at  11:11 Kwa Mukhtasari VISA vya dosari kwenye uchaguzi uliokamilika vinazidi kuripotiwa nchini Kenya, wiki moja baada ya wananchi kupiga kura, na siku kadhaa baada ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) kutangaza mshindi wa urais. Huku IEBC ikikosolewa kwa kutangaza matokeo ya mwisho ya urais Ijumaa usiku kabla ya matokeo yote kuingia, imeibuka kuwa kituo kimoja Kaunti ya Mandera kilitumia karatasi ya kawaida kurekodi matokeo ya urais, badala ya kutumia Fomu 34 A. Matokeo hayo yaliwekwa katika tovuti ya IEBC, na kushangaza wananchi, huku madai ya wizi wa kura yakizidi kuchacha. 'Fomu’ hiyo isiyo ya kawaida iliwekwa katika mtandao wa IEBC kutoka Kituo cha Kuhesabia kura cha Bulla Dadacha 2, Wadi ya Elwak Kusini, Eneo Bunge la Mandera Kusini, Kaunti ya Mandera. Haina nambari ya mfuatano  (serial number)  kama fomu za kawaida za uchaguzi,...

KIONGOZI MKUU WA UPINZANI NCHINI ZIMBABWE, MORGAN TSVANGIRAI AMEFARIKI DUNIA.

Kiongozi wa upinzani wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai amefariki dunia nchini Afrika Kusini, afisa mkuu wa chama chake cha MDC amesema. Bw Tsvangirai, mwenye umri wa miaka 65, aliyekuwa waziri mkuu, alilipotiwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na saratani ya koloni. "Amefariki jioni hii, familia yake imenitaarifu"  Makamu wa Rais wa MDC, Elias Mudzuri aliliambia shirika la habari la Uingereza, Reuters. Morgan Tsvangirai alizaliwa mnamo Machi 10, 1952 huko Gutu, Zimbabwe. Baba yake alikuwa mfanyakazi wa mgodi, fundi, na mkulima. Alihudhuria Shule ya Msingi ya Guco ya St. Marks. Kisha alihamishiwa Shule ya Msingi ya Chikara Gutu. Kwa elimu yake ya sekondari, alihudhuria Shule ya High Gokomere. Alikuwa waziri mkuu katika serikali ya mseto ya Zimbabwe tangu 2009 hadi 2013. Katika kazi yake ya awali alionekana kuwa mfanyakazi mwenye bidii sana na alifanya kazi katika mgodi wa madini ya nickel( kwa zaidi ya muongo mmoja. Alipanda cheo haraka kutambuliwa na akain...

RAIS ROBERT MUGABE AMENG'OLEWA MADARAKANI NA JESHI.

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe na mke wake wamewekwa kizuizini baada ya mapigano ya usiku wa kuamkia leo.Ripoti zinasema jeshi la nchi hiyo limechukua udhibiti wa mitaa ya mji mkuu na vituo vya televisheni. Taarifa kwamba ameondolewa kutoka madarakani zinaonyesha kuwa huo ndio mwisho wa utawala wa miaka 37 wa mwanamapinduzi huyo mwenye miaka 93. Jeshi la nchi hiyo limethibitisha asubuhi hii kuwa mugabe na familia yake wamewekwa kizuizini katika kile ambacho waangalizi wa kimataifa wanakiona kama ni mapinduzi ya kijeshi kutokana na uvumi kwamba makamu wa rais Mugabe aliyefukuzwa wiki iliyopita amerejea kuchukua madaraka ya nchi hiyo. Vikosi vingine vya usalama vimetakiwa "kushirikiana kwa manufaa ya nchi" na jeshi ambalo limeonya kwamba "kusita kufanya hivyo kwa yoyote kutakabiliwa na majibu sahihi". Vifaru vya kijeshi vipo kwenye barabara za Harare (Image: Media Barcroft) Bado hakuna ripoti zilizohakikishwa kuwa mawaziri na watu ...

MADAI YA CUBA KWAMBA WAZIRI MKUU WA CANADA NI MTOTO WA FIDEL CASTRO.

Pichani ni waziri mkuu wa Canada, Justin Trudeau (kushoto), na Rais wa zamani wa Cuba, Hayati Fidel Castro (kulia). Maelezo yaliyoandikwa na mtoto wa kwanza wa rais wa zamani wa Cuba , Fidel Castro, kabla ya kujiua yamelishtua taifa la Cuba wiki hii. Maelezo hayo yaliyoandikwa na mtoto huyo mkubwa wa mwanamapinduzi na rais wa zamani wa nchi hiyo yalikuwa ya kushangaza baada ya  kuwa na madai ya kuwa Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau ni mtoto wa nje wa baba yake marehemu Fidel Castro. Maelezo hayo yaliyoandikwa kwa mkono na mtoto huyo wa Fidel Castro aliyejiua siku chache zilizopita kwa msongo wa mawazo, Fidel Castro Diaz-Balart, aliyekuwa na umri wa miaka 68, yalionekana kuthibitisha uvumi wa muda mrefu nchini Cuba kwamba Fidel Castro ni baba wa damu wa waziri mkuu wa sasa wa Canada, Justin Trudeau ikiwa ni matokeo ya uhusiano wa siri wa kimapenzi na mke wa mwanasiasa maarufu wa Canada, Pierre Trudeau, Margaret Trudeau mwaka 1970. Kifo cha mwanasayansi wa ...

KASHFA YA MAPENZI KATI MH.MBOWE NA WEMA SEPETU.

MH.FREEMAN MBOWE AKIWA NA WEMA SEPETU. Siku chache baada ya ile skendo ya ngono iliyosababisha wakili na mshauri wa Chama cha ACT -Wazalendo , Bwana Albert Msando kujiuzulu kwenye nyadhifa yake ya chama ,yameibuka mangine kwenye chama kikuu cha upinzani Tanzania ,CHADEMA ,baada ya kusambaa kwa kipande cha sauti kinachodaiwa kua ni mazungumzo kati ya mwenyekiti wa chama hicho na mbunge wa Hai Mh.Freeman Mbowe na Miss Tanzania 2006 ,mrembo Wema Isack Sepetu. SIKILIZA HIVI VIPANDE VYA SAUTI: Bonyeza hapa chini kusikiliza maongezi hayo yanayodaiwa kuwa ni kati ya Wema Sepetu na Mh.Freeman Mbowe; Bonyeza hapa chini kusikiliza majibu ya Wema Sepetu; Bonyeza hapa chini kusikiliza majibu ya Mh.Freeman Mbowe; VYANZO: Jamii Forums,                   YouTube.com,                   Perfect255.com.                   

IDADI YA WATALII IMEZIDI KUONGEZEKA NCHINI KENYA BAADA YA TANZANIA KUONGEZA KODI.

Wakijitambulisha wenyewe kama soko kubwa la watalii kwenye mtandao wa intaneti katika nchi za Afrika, Safaribookings.com inadai kwamba kuanzishwa kwa miezi 15 iliyopita kwa kodi ya ongezeko la thamani ya asilimia 18 kwenye utalii imesababisha watoaji wa huduma hizo nchini Tanzania kupoteza biashara. VAT inatumika kwa usafiri wa ardhini na ada za kuongoza, kambi na kuingia kwenye hifadhi za taifa. Jeroen Beekwilder wa Safaribookings.com anasema "wakati huo huo, waendeshaji wa  shughuli hizo wa Kenya walipata ongezeko kubwa la maombi" na kuna matarajio ya matatizo ya muda mrefu kwa sekta ya utalii wa wanyamapori Tanzania sababu wanatafuta bei nafuu. Mtendaji mkuu wa chama cha Waendashaji shughuli za utalii nchini Kenya,Fred Kaigua anasema kuwa chanzo cha VAT nchini Tanzania ni jambo moja tu linalosaidia kuongezeka kwa utalii wa taifa lake, akitoa mfano wa mambo mengine kama vile usalama bora baada ya mabomu ya kigaidi huko Nairobi, mkakati wa kurejesha utalii wa ...

MUATHIRIKA ASIMULIA JINSI "ALIVYONYONYWA DAMU" NCHINI MALAWI.

Hadithi za mashambulizi ya usiku wa manane na 'Wanyonya damu' (Vampires) za kunyonya damu zinaendelea kusababisha matatizo nchini Malawi, kusini mashariki mwa Afrika. Madai 'ya waathirika' wanashambuliwa usiku na 'wanyonya damu' yamesababisha vurugu za wananchi kuchukua sheria mkononi na vifo katika sehemu za kusini za nchi hiyo. Watu takribani saba wameuawa katika wilaya moja, na mapema mwaka huu, wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa na wafanyakazi wa kujitolea kutoka Marekani waliondolewa katika eneo hilo. Wakati wafanyakazi wa Umoja wa Mataifa waliporudi sasa, hadithi za mashambulizi ya kunyonya damu zinaendelea. Jamiya Bauleni, mama mwenye umri wa miaka 40, alisema kuwa mshambulizi aliingia nyumbani kwake na kunyonya damu yake nyumbani kwake katika wilaya ya Thyolo. 'Hii sio kusikia,' aliuambia umati wa watu  katika kijiji cha Ngolongoliwa kusini mwa nchi hiyo ambayo imekuwa katika hali ya hofu hivi karibuni juu ya uvumi wa shughuli za ...