Skip to main content

ROSE MHANDO SELO KWA UTAPELI...!

MWIMBAJI ROSE MHANDO.

Msanii maarufu wa wa nyimbo za injili Rose Mhando anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Singida kwa tuhuma za kutokomea na ma-laki ya pesa kutoka kwa waratibu wa onesho la uzinduzi wa albamu ya kwaya ya AICT Singida.

TAZAMA KIPANDE HIKI CHA VIDEO:

VYANZO: Youtube.com/bs,
                 Channel Ten (habari)

Comments