Mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe,Bibi Grace Mugabe amewakilisha nyaraka za kudai talaka kutoka kwa mume wake kwa kile kinachodaiwa kuwa ni kukasirishwa na kitendo cha rais huyo wa zamani kutaka kumpeleka uhamishoni (nje ya Zimbabwe) kama sehemu ya kukishawishi chama chake kimruhusu aendelee kuwa raisi wa nchi hiyo.
Grace Mugabe anaacha ndoa yake ya miaka ishirini juu ya wasiwasi kuhusu jukumu lake kama mke wa rais wa zamani wa Zimbabwe aliyekuwa asiyejibika na aliyesababisha kuporomoka kwa uchumi wa taifa.
Dunia inashtuka leo baada ya vyanzo vya karibu na familia ya Mugabe kuthibitisha kwamba Grace Mugabe alituma maombi ya kudai talaka Jumatano. Mwanamke huyo mzaliwa wa Afrika Kusini ameelezea wasiwasi juu ya jukumu lake kama Mke wa zamani wa rais wa Zimbabwe, akidai kuwa ni wakati muafaka wa kufurahia maisha ya amani na hastahili kuhuzunika kwa miaka mingi mbeleni.
"Amekuwa na hasira sana tangu Mugabe alipomwachia madaraka Makamu wa Rais wake," kilisema chanzo cha karibu na familia hiyo.
"Alitaka nafasi kama Mwanamke wa Kwanza, sio kama mwanamke ambaye anafanya kazi chini.
Yeye pia hayuko tayari kuondoka maisha yake ya kifahari na kuishi katika nyumba iliyo kizuizini.
CHANZO:
hinnews.com
Comments
Post a Comment