DAVID KAFULILA. |
KAFULILA AELEKEA MAREKANI KUBADILISHANA UZOEFU KUHUSU UWAZI, UWAJIBIKAJI NA VITA DHIDI YA UFISADI.
1.Ameteuliwa na Serikali ya Marekani kushiriki ziara ya wiki 3 ya kubadilishana uzoefu katika masuala ya Uwazi, Uwajibikaji katika usimamizi wa Serikali na udhibiti wa rushwa na ufisadi.
2.Anaondoka leo July28,2017 kuelekea Washington na kurejea nchini Agost20,2017
3.Katika ziara hiyo atajifunza masuala ya;
-mfumo wa Uwazi na Uwajibikaji nchini Marekani
-Maadili na Uwajibikaji Serikalin
-Mifumo ya manunuzi Serikalini
-Mikakati ya kukabiliana na Rushwa na Ufisadi
-Namna wapiga filimbi kuhusu ufisadi wanafanikiwa na kulindwa
-Nafasi ya Jumuiya za kiraia katika vita dhidi ya UFISADI.
Katika ziara hiyo ambayo kutoka Africa itakuwa na wajumbe12 itahusisha kupata uzoefu huo toka Mamlaka mbalimbali za serikali Washington nchini Marekani na pia kutembelea maeneo mengine yafuatayo;
1.Washington DC
2.Minot, North Dakota
3.Potland, Oregon
4.HuntsVille, Alabama
Msingi wa ziara hiyo kuangalia namna Marekani ilivyofanikiwa katika masuala hayo kulinganisha na mataifa mengine duniani
Safari leo (Tarehe 28 Julai)sanne usiku.
CHANZO:
https://m.facebook.com/story.php?story_fbid=365768620508954&id=141069916312160
Comments
Post a Comment