Picha: Reuters |
Mchezaji huyo ghali zaidi duniani alifunga bao katika ushindi wa PSG wa magoli 5-0 dhidi ya Celtic inayoongozwa na Brendan Rodgers.
Lakini pia Neymar jr alionekana kutokua na maelewano mazuri na Ralston ambaye ilikua ni mechi yake ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa wakati akiwa na umri wa miaka 18 na alikuwa amecheza michezo minne tu ya ushindani kabla ya kufika usiku wa jumanne.
Ralston ambaye aliweza kuumudu mchezo pamoja timu yake kufungwa, alionekana kutokuelewana kidogo na Neymar kwenye nusu ya pili ya mchezo hasa pale ambapo Neymar alionekana kumrushia maneno lakini yeye (Ralston) alimwangalia Neymar usoni huku akicheka.
Picha: BeIn Sports. |
Ndipo Ralston alipokwenda kumshika mkono Neymar pale mchezo ulipokwisha na Neymar akafanya kitu ambacho hamna mtu aliyetarajia...!!!
TAZAMA KIPANDE CHA VIDEO HIYO HAPA CHINI:
n
Credit: BT Sports.CHANZO:
sportsbible.com
Comments
Post a Comment